Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ali Kiba amweka Diamond kwenye Playlist yake

ALIKIBA NA DIAMONDI Ali Kiba amweka Diamond kwenye Playlist yake

Wed, 3 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Ali Kiba ametengeneza playlist yake ya Bongo Fleva kwenye Origins ya AppleMusic ambapo ndani yake amezitaja ngoma baadhi kutoka kwa mastaa wa muziki wa WCB Diamond Platnumz, Mbosso na Zuchu.

Kwa upande wa Diamond Platnumz ngoma iliyoingia katika Playlist hiyo ni African Beauty akiwa na Omerion, Zuchu ni Fire, Mbosso ni For Your Love ft Zuchu, Huyu Hapa)

Mastaa wengine walio kwenye list hiyo ni Harmonize, Rayvanny, Nandy, Marioo, Kayumba, Darassa N.k.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live