Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ali Kiba: Talaka kwa mke wangu nitatoa

Ali Kiba Wife Ali Kiba: Talaka kwa mke wangu nitatoa

Thu, 22 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka Tanzania AliKiba amefanya Mkutano na Waandishi wa habari punde tu baada ya kuwasili nchini Kenya jana Mchana, amejibu maswali mengi ya waandishi ikiwemo lile la Talaka ambalo ‘mkewe’ Amina Khalef alilibua wiki iliyopita akimtaka AliKiba asaini hati za Talaka!

Mwanamuziki kutoka Tanzania AliKiba amefanya Mkutano na Waandishi wa habari punde tu baada ya kuwasili nchini Kenya jana Mchana, amejibu maswali mengi ya waandishi ikiwemo lile la Talaka ambalo ‘mkewe’ Amina Khalef alilibua wiki iliyopita akimtaka AliKiba asaini hati za Talaka! Kwa mafumbo, AliKiba ameeleza kwamba atatoa talaka hiyo kwa maana atasaini makaratasi ya talaka kwani ni jambo ambalo anaweza kulifanya. Ni lini?AliKiba aliwaacha na swali hilo waandishi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live