Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Album ya Rick Ross inaingia sokoni Ijumaa hii (+Trackist) iko hapa

Rick Ross Richer Than I Ever Been Album ya Rick Ross inaingia sokoni Ijumaa hii (+Trackist) iko hapa

Tue, 7 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rick Ross anatarajiwa kurejea na albamu yake ya 11 ya Richer Than I Ever Been.

Siku chache kabla haijashuka, The BIGGEST ametoa orodha ya nyimbo zitakazokuepo kwenye album hiyo ikiwa ni pamoja na wimbo wa "Outlawz" aliofanya na Jazmine Sullivan na 21 Savage, pamoja na nyimbo kutoka kwa Benny the Butcher, DreamDoll, BLXST, Yungeen Ace, na Major Nine.

Nyimbo 10 pia zinajumuisha “Warm Words in a Cold World” akiwa na Wale na Future pamoja na ambayo ngoma iliyotayarishwa na Boi-1da “Little Havana” akiwa na The-Dream pamoja na mfalme wa zamani wa dawa za kulevya Willie Falcon, ambayo ilitolewa Ijumaa iliyopita

Richer Than I Ever Been, ambayo inaifuatia Port of Miami 2, ya 2019, itatoka Desemba 10.

"Ninahisi hii ni albamu bora zaidi ambayo nimewahi kufanya," Ross aliiambia "The Bakari Sellers Podcast." “Ninafanya maendeleo kila siku. Ninahisi kama baadhi ya mambo ninayosema kwenye albamu hii yatatenganisha albamu hii na nyingine. Watu wengi watasema, ‘Rozay hakupaswa kufanya hivyo.’ Nafikiri ni lazima. Kwa nini isiwe hivyo? Hicho ndicho mchezo unahitaji.”

RICHER THAN I EVER BEEN TRACKLIST

1. “Little Havana” feat. Willie Falcon and The-Dream 2. “The Pulizter” 3. “Rapper Estates” feat. Benny the Butcher 4. “Marathon” 5. “Warm Words in a Cold World” feat. Wale and Future 6. “Wiggle” feat. DreamDoll 7. “Can’t Be Broke” feat. Yungeen Ace and Major Nine 8. “Made It Out Alive” feat. BLXST 9. “Outlawz” feat. Jazmine Sullivan and 21 Savage 10. “Imperial High”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live