Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Album ya Drake yaendelea kupeta katika charts za Billboard

33244444 660x400 Album ya Drake yaendelea kupeta katika charts za Billboard

Mon, 20 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

Ni Headlines za mkali kutokea nchini Marekani Drake ambae tangu aiachie album yake ‘Certified Lover Boy’  imekuwa ya kwanza kwa mwaka huu kushika namba 1 ndani ya wiki mbili kwenye chart za Billboard 200.

Ni Headlines za mkali kutokea nchini Marekani Drake ambae tangu aiachie album yake ‘Certified Lover Boy’  imekuwa ya kwanza kwa mwaka huu kushika namba 1 ndani ya wiki mbili kwenye chart za Billboard 200. Album hiyo ilishika namba 1 katika chart hizo mwezi Septemba 12, 2021 ikiwa ni wiki moja tu iachiwe hewani.

Chanzo: millardayo.com