Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Albamu yangu itakuwa tofauti-Marioo

Mariooo Toto Bad "Albamu yangu itakuwa tofauti" - Marioo

Fri, 4 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Bia Tamu, Marioo ameweka wazi kuwa, watu wajiandae kwa kimbunga cha albakmu yake kwani itakuwa ni zaidi ya albamu.

Kauli hiyo ya Marioo ameitoa ikiwa ni siku chache baada ya Mbosso na Harmonize kuachia albamu zao zikiwa zimeachiana siku moja tu.

“Albamu yangu itakuwa tofauti. Sijachukulia kama ni nyimbo zilizobaki kwamba nikazikusanya kwa pamoja ndio nitoe albamu. Mimi kila wimbo unajitegemea na unaweza kuwa hit song,” alisema Marioo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live