Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Albamu ya Utopia yagonga "Platinum"

Travis Scott Alb Travis Scott

Fri, 25 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Album mpya ya Travis Scott “UTOPIA” tayari imeuza jumla ya nakala Milioni 1 nchini Marekani na kufikia hadhi ya Platinum ikiwa ni chini ya mwezi mmoja.

Album mpya ya Travis Scott “UTOPIA” tayari imeuza jumla ya nakala Milioni 1 nchini Marekani na kufikia hadhi ya Platinum ikiwa ni chini ya mwezi mmoja. Album hiyo iliachiwa rasmi Julai 28 mwaka huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live