Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Albamu ya Harmonize ni ya msuto, haiwezi kushindana kimataifa-Mwijaku

Mwijakuuu Albamu ya Harmonize ni ya msuto, haiwezi kushindana kimataifa-Mwijaku

Sun, 6 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji maarufu Bongo, Mwijaku amezichana albamu zilizoachiwa hivi karibuni ikiwemo ya Harmonize akisema ni ya levo ya ndani na haiwezi kushindana kimataifa.

Mwijaku alisema Harmonize ameandika mashairi ya zamani ya msuto na ni nzuri kusikiliza kwa ndani lakini sio kushindana kimataifa.

“EP ya Mbosso na albamu ya Harmonize zote ni za ndani. EP ya Mbosso hawezi kushindana na nyimbo za nje, ni sawa na Yanga uwaambie washidane kiamataifa wakati wao ni wa hapa hapa ndani,” alisema Mwijaku.

Mwijaku alisema hana tatizo na Harmonize wala Mbosso lakini kwenye ukweli yeye huwa haoni sababu ya kupindisha maneno.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live