Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Albamu ya African Giant ya Burna Boy yafikia hadji ya Platinum

Burna Boy 780x470 Albamu ya African Giant ya Burna Boy yafikia hadji ya Platinum

Sat, 2 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya miaka mitano kuachia album ya ‘African Giant’ na kufanya vizuri sasa album hiyo ya mkali wa #Afrobeat kutoka nchini Nigeria Burna Boy imetangazwa kufikia hadhi ya platinum nchini #Ufaransa baada ya kuuza nakala (copies) 100,000.

Na hii inakuwa album ya kwanza #Nigeria kufikia hadhi za #Platinum nchini humo

Ikumbukwe kuwa album hiyo iliachiwa rasmi mwezi Julai mwaka 2019, huku mwaka 2023 wimbo wa ‘Last Last’ uliokuwa katika album hiyo ukitangazwa kufikia hadhi ya almasi na #SNEP.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live