Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Albam mpya ya Chid Benz itakua na nyimbo 18

CB2 Albamu mpya ya Chid Beenz | East Africa Television

Sat, 16 Oct 2021 Chanzo: eatv.tv

Msanii wa hip hop Bongo, Chidi Beenz anatarajia kuachia album yake mpya hivi karibuni baada ya kuachia orodha ya nyimbo 18 ambazo zinazounda mseto mzima wa album hiyo mpya iliyopewa jina la “Wa2 Wangu”.

Msanii wa hip hop Bongo, Chidi Beenz anatarajia kuachia album yake mpya hivi karibuni baada ya kuachia orodha ya nyimbo 18 ambazo zinazounda mseto mzima wa album hiyo mpya iliyopewa jina la “Wa2 Wangu”. Chidi hajaweka wazi tarehe rasmi ya kuachia album hiyo ambayo itakuwa na collabo za wasanii kutoka Tanzania na nje kama Badest 47, Only1pabo, Brian Simba na Scar Mkadinali kutokea nchini Kenya.

Chanzo: eatv.tv