Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Akon ajibu tuhuma za kumbaka binti wa miaka 13

Suge Knight Accuses Akon Of Raping 13 Year Old Girl Thats Weirdo Shit 1200x675 Akon ajibu tuhuma za kumbaka binti wa miaka 13

Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya mtayarishaji mkongwe wa muziki kutoka nchini Marekani Suge Knight kudai kuwa mwanamuziki na mfanyabiashara #Akon aliwahi kumbaka binti wa miaka 13, hatimaye, muimbaji huyo amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusiana na jambo hilo

Kufuatia mtando wa #X wa #Akon ameandika kuwa “Ulimwengu unafahamu uongo pale tu wanapo usikia, inahudhunisha, kudhalilisha na kutia aibu sana bila kujali historia yetu lakini bado nitaendelea kumuombea”

Suge Knight, ambaye kwa sasa anatumikia kifungo cha miaka 28 jela kwa kuua bila kukusudia, aliyasema hayo kupitia Podcast mpya ya ‘Collect Calls’ ambayo imezinduliwa na #Knight kutoka gerezani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live