Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Akon afanya 'Sajari' kuoteshwa nywele

Akon Appears To Have Gotten His Hairline Done In Viral Photo 1 Akon afanya 'Sajari' kuoteshwa nywele

Thu, 20 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa muziki tokea nchini Marekani na mwenye asili ya Senegal, Akon ameweka wazi kuwahi kwenda uturuki kwaajili ya ufanyaji upasuaji wa kuotesha nywele na kuondoa uwalaza.

Kwenye Podcast interview aliyofanya hivi karibuni na Bootleg Kev, Akon ameeleza kuwa ilimbidi aende uturuki kuotesha nywele zake kutokana na kutopenda muonekano wa mwanzo, akiongeza kuwa kwasasa anafurahia matokeo yake licha ya kukutana na maumivu makali wakati wa upasuaji.

Upasuaji huo umegharimu zaidi ya Tsh Milioni 17 huku akidai ni pesa ndogo ukilinganisha na gharama za matibabu hayo nchini Marekani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live