Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Akon: Ukitaka kutajirika kuwa bahili

Akon 1695644510607.jpeg Akon: Ukitaka kutajirika kuwa bahili

Mon, 25 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki Akon ametoa ushauri kwa watu ili waweze kutajirika ni lazima wawe wabahili.

Akon akiwa kwenye podcast ya Impaulsive amesema, kama mtu anataka kutajirika basi lazima uwe mbahili na sio kutumia pesa hovyo, huku akijitolea mfano na kudai kuwa yeye ni bahili kupita kiasi.

Hata hivyo Akon amesema huwa anashauri watu waone pesa walizonazo hazitoshi, anadai mtu akifikiria hivyo basi uwezo wake wa kusimamia vitu vyake utakuwa mzuri lazima utabadilika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live