Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Akiwa na mnafiki akili zangu ndio zilivyoamka leo” Zarithe_

2961 Screenshot 20180209 205434 660x400 TZW

Mon, 12 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo February 9,2018 bado nakusogezea stori ambayo inatrend kwenye mitandao ya kijamii na hii ni kutoka kwenye fan page ya Zari the boss lady inayotumia jina la Zarithe_ kupost picha ya Zari pamoja na Esma Platnumz.

Kupitia fan page ya Zarithe_ ambayo ni account ya instagram inayoendeshwa na shabiki ilipost picha ya Zari akiwa na wifi yake Esma na kuandika #tbt @zarithebosslady akiwa na mnafki

Chanzo: millardayo.com