Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Akaunti za hizi za Twitter kufungwa

Fdx Twitter Akaunti za hizi za Twitter kufungwa

Tue, 8 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Elon Musk amesema kuanzia sasa akaunti itakayotumia jina la mtu mwingine, bila kuweka wazi kuwa ni bandia (parody) itafungiwa moja kwa moja.

Elon Musk amesema kuanzia sasa akaunti itakayotumia jina la mtu mwingine, bila kuweka wazi kuwa ni bandia (parody) itafungiwa moja kwa moja. Awali Twitter ilikuwa inatoa onyo kabla ya kuzifunga, lakini sasa hakutakuwa na onyo, na tayari akaunti zilizotumia jina lake zimefungiwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live