Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Ajiua kwa kujirusha Darajani kisa maumivu ya jino

Ajiuaaaaaa Ajiua kwa kujirusha Darajani kisa maumivu ya jino

Wed, 15 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwaka 1964 mwanaume aliyefahamika kwa jina la John Thomas Doyle, alijiua kwa kujirusha kutoka kwenye Daraja la Golden Gate nchini Marekani.

Kilichowashangaza wengi ni ujumbe aliouacha baada ya kujiua, ulisomeka hiviii:

"Sina sababu yoyote isipokuwa maumivu ya jino"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live