Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Ajinyonga akitaka kujua wanaojinyonga wanajisikiaje

Ajinyonga Ajinyonga akitaka kujua wanaojinyonga wanajisikiaje

Wed, 26 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nicolae Minovici Daktari na Mwanasayansi wa Romania mwaka 1904 aliamua kujinyonga mbele ya wasaidizi wake huku akiwataka wafuatilie hatua zote atakazopitia ili ajue mtu anaponyongwa anajisikiaje

Nicolae Minovici Daktari na Mwanasayansi wa Romania mwaka 1904 aliamua kujinyonga mbele ya wasaidizi wake huku akiwataka wafuatilie hatua zote atakazopitia ili ajue mtu anaponyongwa anajisikiaje Inaelezwa alijinyonga mara 12 na alipata matatizo ya koo na baadae yalisababisha kifo chake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live