Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Aingia mtaani na Simba kupambana na mbwa wa Polisi

Simba Mtaani Aingia mtaani na Simba kupambana na mbwa wa Polisi

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Je Wajua Mwaka 2019 huko nchini Iraq kulipokuwa na ripoti kwamba vikosi vya usalama vya Iraq vingetumia mbwa kuzuia waandamanaji kuingia barabarani, kijana mmoja wa kiiraki aliamua kuchukua hatua za kibabe kwa kuingia barabarani na simba wake kipenzi.

Nia ya kijana huyo ilikuwa kumuachilia mnyama huyo mkali ili kuwatawanya mbwa wa polisi waliokusudiwa kuwadhibiti waandamanaji.

Hata hivyo polisi wala mbwa wao hawakuonekana eneo la tukio na maandamano hayo yaliendelea kama yalivyopangwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live