Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Aifungulia kesi hoteli baada ya mtoto kufia kwenye swimming

Aifungulia Kesi Hoteli Baada Ya Mtoto Kufia Kwenye Swimming Aifungulia kesi hoteli baada ya mtoto kufia kwenye swimming

Wed, 27 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Familia ya msichana mwenye umri wa miaka 8 ambae alikwama kwenye Pipe ya Bwawa la kuogelea na kufariki kwenye hoteli moja huko Houston, Texas, imeifungulia kesi hotel hiyo wakitaka vidia ya $1M-Tsh.Bilioni 2.5+.

Msichana huyo, aitwaye #AliyahJaico, alifariki katika hali ya kuhuzunisha alipokuwa katika hoteli ya #DoubleTreeByHiltonHoustonBrookhollow, inayosimamiwa na #Hilton na #UniqueCrowneHospitality.

Mama mzazi wa #Aliyah anadai uzembe wa hotel hiyo ndio chanzo kutokana na pipe za Bwawa hilo kuwa mbovu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live