Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Agoma kupiga picha na Mashabiki mpaka aletewe 'Toilet Paper'

Attachment Boosie Badazz Photo Msanii kutoka nchini Marekani Boosie Badazz

Sat, 19 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii kutoka nchini Marekani Boosie Badazz amewashangaza wengi kwa kauli yake iliyosikika kwenye video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, kukataa kupiga picha na mashabiki hadi wamletee toilet paper kwanza.

Msanii kutoka nchini Marekani Boosie Badazz amewashangaza wengi kwa kauli yake iliyosikika kwenye video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii, kukataa kupiga picha na mashabiki hadi wamletee toilet paper kwanza. Baada ya mashabiki kumuomba Bossie apige nao picha akawajibu kuwa hawezi kupiga picha kwa muda huo hadi wamtafutie kwanza toilet paper aende chooni kisha atapiga nao picha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live