Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aggy Baby: Kwa siku natumia Tsh milioni 6

Aggy Baby S Aggy Baby.

Fri, 22 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa filamu Bongo,Aggy Baby amesema kwa siku moja anatumia bando la Tsh milioni 3 na matumizi yake kwa ujumla kwa siku ni zaidi ya Tsh milioni 6.

Msanii wa filamu Bongo,Aggy Baby amesema kwa siku moja anatumia bando la Tsh milioni 3 na matumizi yake kwa ujumla kwa siku ni zaidi ya Tsh milioni 6. "Bando kwa siku natumia Tsh milioni 3, matumizi yangu kwa siku ni fedha nyingi sana, nikizitaja hapa mtu anaweza asiamini ila natumia Tsh milioni 6," amesema Aggy Baby.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live