Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Ageuka kichekesho akiwakimbia polisi kwa gari la ‘gofu’

Gari Ede0927e Ageuka kichekesho akiwakimbia polisi kwa gari la ‘gofu’

Wed, 27 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamume mmoja kutoka San Fernando ajikuta akigeuka kichekesho wakati akijaribu kuwakimbia maafisa wa polisi wakiwa kwenye msako.

Kufuatia video zinazosambaa zinamuonesha mwanaume huyo akiwa anawatoroka polisi kwa kutumia gari litumikalo kwenye mchezo wa ‘gofu’, huku mkono mmoja akiwa anatumia kuendesha gari hilo na mwingine akiutumia kumshikilia mbwa wake.

Mwanaume huyo anadaiwa kuiba gari hilo la ‘gofu’ alilotumia kukimbia nalo japo kuwa mbio zake hazikuzaa matunda kwani aliweza kukamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi huku mbwa wake akiwa amerudishwa kwenye familia ya mwanaume huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live