Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Afya ya Jamie Foxx yazidi kuzorota, Familia yategemea lolote

Jamie Foxx Critical Jamie Foxx

Thu, 11 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Familia ya Jamie Foxx pamoja na wapendwa wake wanaendelea kukumbatia sala na dua kama ngao yao kuu kwa ajili ya Mungu kumponya mwigizaji huyo, lakini inaarifiwa kwamba hali ya afya yake inazidi kuzorota siku hadi siku na familia imejipanga kwa lolote baya mbele yao.

Familia ya Jamie Foxx pamoja na wapendwa wake wanaendelea kukumbatia sala na dua kama ngao yao kuu kwa ajili ya Mungu kumponya mwigizaji huyo, lakini inaarifiwa kwamba hali ya afya yake inazidi kuzorota siku hadi siku na familia imejipanga kwa lolote baya mbele yao. Taarifa za Jamie Foxx kulazwa hospitali zimetoka tangu mwanzoni mwa mwezi April kwa kile ambacho binti yake amekiita ‘Medical Complication'.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live