Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Afshan mtu mfupi zaidi duniani

C35bd293 8817 4275 8717 Ad9cc165c6bf Afshan mtu mfupi zaidi duniani

Sun, 18 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Afshan Esmaeil Ghaderzadeh, Raia wa nchi ya Iran, mwenye umri wa miaka 20 (amezaliwa Julai 13, 2002), amevunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa na Edward Hernandez maarufu "Nino" kutoka Colombia (miaka 36) ya kuwa Mwanaume mfupi zaidi Duniani.

Afshan Esmaeil Ghaderzadeh, Raia wa nchi ya Iran, mwenye umri wa miaka 20 (amezaliwa Julai 13, 2002), amevunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa na Edward Hernandez maarufu "Nino" kutoka Colombia (miaka 36) ya kuwa Mwanaume mfupi zaidi Duniani. Kwa mujibu wa Guinness World Records, Afshan ana urefu wa futi 2 na Inch 1.6 huku akiwa "Cm" Saba (7) pungufu ukilinganisha na urefu wa Edward Hernandez.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live