Menu ›
Burudani
Fri, 24 Mar 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Hollywood Report wameandika kuwa, kampuni ya #didas imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wa kuzalisha bidhaa za Beyonce zinazofahamika kama IvyPark.
Sababu kubwa iliyoainisha ni kutokana na bidhaa hizo kutofanya vizuri sokoni.
Kwa mwaka 2022 Adidas inatajwa kupata hasara ya Dola za Kimarekani Milioni 200. Beyonce atabaki na umiliki wa Chapa yake hiyo ambapo anatarajia kuendelea kufanya uzalishaji wa bidhaa zake kama kawaida.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live