Menu ›
Burudani
Wed, 10 May 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Kampuni ya Adidas ipo njia panda na haijui cha kufanya kwenye mzigo wa bidhaa za Kanye West [Yeezy shoes] wenye thamani ya ($1.3 billion) zaidi ya Trilioni 3.
Kampuni ya Adidas ipo njia panda na haijui cha kufanya kwenye mzigo wa bidhaa za Kanye West [Yeezy shoes] wenye thamani ya ($1.3 billion) zaidi ya Trilioni 3. Mzigo huo bado haujauzika kufuatia Adidas kuvunja ushirikiano Kibiashara na YE mwezi Oktoba 2022.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live