Menu ›
Burudani
Fri, 18 Oct 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Kampuni ya mavazi na viatu adidas imetangaza kusherehekea urithi wa Bob Marley kwa kuzindua kiatu chake mwenyewe ambacho kitaitwa , Bob Marley SL 72.
Kampuni ya mavazi na viatu adidas imetangaza kusherehekea urithi wa Bob Marley kwa kuzindua kiatu chake mwenyewe ambacho kitaitwa , Bob Marley SL 72. Adidas wameamua kumkumbuka msanii huyo nguli wa zamnai kutoka jamaika, ambapo enzi za uhai wake alikuwa akipendelea sana kuvaa viatu kutoka kwenye kampuni hiyo kubwa Duniani,
Chanzo: www.tanzaniaweb.live