Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Adele: Hakuna Mwanamuziki anayeweza kuimba kama mimi

Adele Marekani Mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Marekani Adele

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Marekani Adele amesema kuwa japo yeye siyo muimbaji bora Duniani lakini hakuna mtu yeyote anayeweza kuimba nyimbo zake kama aimbavyo yeye.

Mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Marekani Adele amesema kuwa japo yeye siyo muimbaji bora Duniani lakini hakuna mtu yeyote anayeweza kuimba nyimbo zake kama aimbavyo yeye. Ameyasema hayo akiwa katika mahojiano na #TheHollyWoodRepoter huku akidai kwa sababu hakuna mtu anayemsaidia kwenye kuandika nyimbo zake hivyo hajali wasanii wengine wakifanya Cover.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live