Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ada ya mtoto yampeleka selo

Darius McCrary Muigizaji kutoka nchini Marekani, Darius McCrary

Tue, 19 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji kutoka nchini Marekani, Darius McCrary amekamatwa na polisi na kuswekwa rumande kwa kushindwa kulipa ada ya mtoto wake shuleni.

Nyota huyo wa Family Matters mwenye umri wa miaka 47 anakabiliwa na kosa la kutolipa ada kwa wakati, inaelezwa kuwa mzazi huyo amelimbikiza madeni ya ada tokea mwezi Machi 12, 2019 hadi sasa.

Star huyo amewahi kugiza filamu kama ‘Something about’, ‘Big Shots’, ‘Family Matters’, ‘Kingdom Come’, na ‘Wayward’

Chanzo: www.tanzaniaweb.live