Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

"Achana na vijana tafuta mwanaume mbaba akuhudumie wewe na watoto wako" Mbunge (+video)

Video Archive
Thu, 14 Jan 2021 Chanzo: millardayo.com

Mama mmoja anayetambulika kwa jina la Frolida Leonard (36) Mkazi wa Nyakato Musoma mkoani Mara ameshauriwa kuachana na wanaume vijana ambao wamemzalisha watoto nane mfululizo kisha kuachwa na badala yake afunge uzazi pia atafute mwanaume mtu mzima wa kuhudumia familia.

Chanzo: millardayo.com