Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Achana na muziki: Diamond ajipanga kwa maisha mapya

8215 20589727 1631575780220254 806182077471916032 N TZW

Tue, 22 May 2018 Chanzo: bongo5.com

/>

Akizungumza katika uzinduzi wa Kipindi cha Nyumba ya Imani kitakachokuwa kikiruka Wasafi TV, Diamond amesema kuwa anatumia muziki kama sehemu ya kujipatia mtaji tu.

“Kazi tunayoifanya sio kwamba Mwenyenzi Mungu anaipenda, kiuhalali haipo hivyo, hivyo tujitahidi kutenda matendo mengi mazuri, tutumie muziki katika njia nzuri,” amesema.

“Mimi vision yangu ni kuwa mfanyabiashara, sina ndoto ya kuimba milele, huwezi kuimba milele, kwa hiyo natumia muziki kesho na keshokutwa iwe ni chanzo cha biashara zangu nyingine na namshukuru Mwenyenzi Mungu siku zinavyozidi kwenda anazidi kunibariki,” amesisitiza.

Diamond tayari ameshaonyesha mwanga kwa upande wa biashara kwa kuachia sokoni bidhaa kama Diamond Karanga, Chibu Perfume na sasa Wasafi Media.

Loading...
Chanzo: bongo5.com