Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Abigail Chams aikamata namba 3 Afrika

Abigail Chams 1695206914617.jpeg Abigail Chams

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtandao wa ku-Stream muziki wa Audiomack Africa umeiweka '5 The Ep' ya Abigail Chams katika nafasi ya Tatu, kwenye albamu mpya Tano zilizosikilizwa zaidi wiki hii.

Septemba 29 mwaka huu, EP hiyo yenye mikwaju Sita, ilitoka rasmi ikiwa na kolabo kadhaa na wasanii Whozu, Rayvanny, Chino Kidd na Marioo imeendelea kupata mapokezi mazuri kupitia digital platforms tofauti.

Albamu 5 mpya zilizosikilizwa zaidi kwenye Audiomack, Wiki Hii:

1. Gold || Otega Billz

2. How Im Built || Ricch Kid

3. 5 || Abigail Chams

4. Chukela || Dj Maphorisa x Tman Xpress

5. Kapacity || Bobby Kapacity

Chanzo: www.tanzaniaweb.live