Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Abha, S2kizzy watupiana madongo Instagram

Abha X S2kizzy Abha, S2kizzy watupiana madongo Instagram

Fri, 3 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muda mchache baada ya Zombie @s2kizzy Kuandika kwenye insta story yake kuwa “hataki kufananishwa na mtayarishaji yoyote Afrika Mashariki, Pia yeye ni mtayarishaji bora wa kizazi chake na kwa muda wote, Hata hivyo Yeye ni mtayarishaji namba mbili ( 2 ) kwa ubora.

Mtayarishaji wa Muziki @abbah_process amejibu kwa kuandika “ Ni takribani mwaka mmoja sijakaa studio kutengeneza mdundo ila mitaa inaimba jina langu “Abbaaah” Wakinyamaza nitaleta mdundo mpya waendelee kujifunza”

Una maoni gani kwenye haya yanayoendelea mtandaoni?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live