Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Abby Chams rasmi asaini Sonny Music

Abby Chams L Abby Chams

Wed, 8 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwimbaji chipukizi wa muziki wa kizazi kipya, Abby Chams amekaribishwa rasmi kwenye record label ya Sony Music Africa baada ya kusaini mkataba.

Mwimbaji chipukizi wa muziki wa kizazi kipya, Abby Chams amekaribishwa rasmi kwenye record label ya Sony Music Africa baada ya kusaini mkataba. Abby anayesifika kwa kuwa na sauti nzuri awapo jukwaani na fundi wa kupiga vyombo karibu vyote vya muziki, sasa atakuwa akifanya kazi chini ya usimamizi wa label hiyo kubwa na maarufu ulimwenguni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live