Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Aagiza nyumba kutoka China mpaka Marekani

Aagiza Nyumba Kutoka China Mpaka Marekani Aagiza nyumba kutoka China mpaka Marekani

Tue, 10 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Zackary South kutoka Marekani ame-make headlines baada ya kuagiza nyumba ya Kontena kutoka China mpaka Marekani kisha kuiweka kwenye uwanja wake.

Unaambiwa Nyumba hiyo ya Kontena imetumia muda wa miezi mitatu kufika Marekani na ina vyumba viwili, sehemu ya jiko na choo cha ndani.

Pia ameonesha watu njia mbadala ya kumiliki nyumba yako kwa kubana matumizi bila ya kutumia matofali, cement au mchanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live