Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Aacha mali na kuokoa PS 5 tetemeko la Morocco

PS 5 Aacha mali na kuokoa PS 5 tetemeko la Morocco

Fri, 22 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Juma lililopita Dunia iliingiwa na huzuni kubwa baada ya Nchi ya Morocco kukumbwa na Tetemeko kubwa la Ardhi lenye ukubwa wa (6.8-magnitude) na kuchukua roho za watu wasio pungua 2000 na zaidi na majeruhi wengi.

Sasa kitu cha kushangaza Kama sio kuchekesha kuna mwamba yeye alijiokoa na kutoka njee na PS 5 yake mkononi

Tukio hilo liliibua maswali kwa wengi yani yeye aliona cha muhimu kwanza Ni PS GAME PS 5 ndio aangalie uhai wake ama hakuna kingine cha muhimu ila ni PS 5 tu ndio cha kutoka nacho

Tunawapa Pole Ndugu zetu wa Morocco ila huyu mwamba sio kwa kupenda huku game huyu ni mlevi kabisa wa game.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live