Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

AY atoa onyo kuhusu Rap

Masta AY atoa onyo kuhusu Rap

Sat, 5 Jun 2021 Chanzo: eatv.tv

Rapper AY Masta amewaonya watu waliokuwa wakitoa tafsiri mbaya ya muziki wa Rap kwaa kusema kuwa ni uhuni hii ni baada ku-post picha akiwa na rafiki yake Mwana FA ambaye ni mbunge wa jimbo la Muheza kufuatia jana kutinga Bungeni Dodoma.

Baada ya kushuhudia shughuli mbalimbali za kibunge alipata picha ya pamoja na rafiki yake huyo aliyempa mualiko na kuacha ujumbe usemao “ole wako useme rap uhuni, siku nzuri na Mheshimiwa Mwana Fa”

 

Chanzo: eatv.tv