Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

AY ajichimbia studio na Harmonize

Harmonize  Ay Dfb AY ajichimbia studio na Harmonize

Wed, 15 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Ambwene Yessaya 'AY' kupitia ukurasa wake wa instagram ame-post picha hii akiwa studio na kondeboy Harmonize ikiwa ni mara yao ya kwanza kuonenaka pamoja studio.

AY amepost picha hii na kuandika maneno haya; "Hell On Earth Harmonize".

Harmonize anatarajia kuachia albam mpya Novemba 24, mwaka huu iliyopewa jina la "Visit Bongo".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live