Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

AMBER ROSE: Nitabaki single milele

Amber Rose Single 01 012623 Aa1a38baa227497e800d2a276db0d7ae Amber Rose

Mon, 30 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa upande wa Amber Rose, wanaume hawana nafasi tena kwenye maisha yake, ametangaza kwamba atabaki kuwa Single milele yaani mpaka Kufa kwake.

Kwa upande wa Amber Rose, wanaume hawana nafasi tena kwenye maisha yake, ametangaza kwamba atabaki kuwa Single milele yaani mpaka Kufa kwake. Amber Rose amefunguka hayo kupitia mahojiano na Podcast ya “Sofia with an F” Mrembo huyo amewahi kuwa na mahusiano na wanaume kadhaa maarufu akiwemo Kanye West, lakini pia kuzaa na Wiz Khalifa pamoja na Alexander Edwards.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live