Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

ALIKIBA KAZUNGUMZIA SAFARI YAKE YA CHATO MPAKA KUKUTANA NA MAMA JPM

2194 VFDFGGG

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Msanii kutoka Bongflevani Alikiba amezungumza vitu alivyoenda kuvifanya Chato mwishoni mwa juma lililopita ikiwa ni pamoja na kwenda kumuona Mama wa Rais JPM na kutembelea baadhi ya Shule na Hospitali huku sababu kubwa ikiwa ni show ambayo alitakiwa kwenda kufanya kipindi cha nyuma lakini hakuweza kwenda.

Kwenye safari hiyo Ali Kiba alikuwa na mdogo wake Abdu Kiba na walipata nafasi ya kuelezea furaha yao juu ya mapokezi mazuri waliyoyapata kutoka kwa mama mzazi wa Rais JPM pamoja na sehemu walizotembea  katika wilaya ya Chato.

Bonyeza PLAY kumsikiliza ALIKIBA

EXCLUSIVE: Diamond Kafunguka kolabo na Alikiba

Chanzo: millardayo.com