Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

ALICHOFANYA HARMONIZE MKAPA ITABAKI KUWA HISTORIA

Image 432.png?fit=567%2C335 ALICHOFANYA HARMONIZE MKAPA ITABAKI KUWA HISTORIA

Mon, 31 Aug 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Msanii wa muziki nchini Tanzania kutoka Konde Gang ametua uwanja wa Mkapa kwa staili ya kamba kitu ambacho kiliwafanya maelfu ya mashabiki kumshangalia. Muimbaji huyo alitua uwanjani hapo akiwa na watu zaidi 100 , dansa, walinzi pamoja na watu wa sarakasi.

Chanzo: zanzibar24.co.tz