Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

AKA amjibu shabiki baada ya kuchekwa mitandaoni

Wed, 7 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Ingawa AKA alijaribu kutushawishi kwenye mtandao Twitter kwamba amevunjika moyo kiukweli na kwamba yeye pia ni binadamu, mashabiki bado hawakuwa na huruma.

moja ya mfuasi wake aifanya picha ya AKA katika meme na kumcheka juu ya kuwa atakua peke yake siku ya wapendanao. AKA alimjibu mfuasi huyo lakini hiyo haikuzuia kuacha kumcheka na kumsumbua.

Chanzo: bongo5.com