Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

50 Cent kutua Afrika muda wowote

50 Cent Sd 50 Cent kutua Afrika muda wowote

Tue, 28 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ziara ya rapper 50 Cent, Final Lap Tour itadondoka Afrika muda wowote kuanzia sasa.

Baada yakufanya show weekend hii huko nchini India, 50 ametujuza kuwa lazima amalize ziara yake ambapo ametaja maeneo ambayo atazunguka ili kukamilisha ziara yake.

Kupitia instagram ameandika “I still have to hit, Africa, Jamaica, Tokyo, Japan on this FINAL LAP TOUR where else should i go around the world?”

Je unadhani ni nchi gani atakuja kufanya show hii hapa Afrika?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live