Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

50 Cent kuja na Filamu ya matukio ya P Diddy

50 X Diddy 50 Cent kuja na Filamu ya matukio ya P Diddy

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani 50 Cent yupo mbioni kuandaa filamu itakayohusu matukio ya unyanyasaji wa kingono yanayomkabili P Diddy.

50 Cent amesema kuwa mapato yatakayopatikana kwenye filamu hiyo yataenda kwa wahanga walioathirika na vitendo vya kikatili walivyofanyiwa na Diddy.

Hata hivi filamu hiyo inaandaliwa na kampuni ya msanii huyo iitwayo ‘G-UNIT’ huku tarehe rasmi ya kuingizwa sokoni filamu hiyo bado haijawekwa wazi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live