Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

50 Cent hajamchumbia mpenzi wake

50 Cent Hajamchumbia Mpenzi Wake 50 Cent hajamchumbia mpenzi wake

Tue, 18 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Tetesi kusambaa mtandaoni kuhusu Rapa na Muigizaji 50 Cent kudaiwa kumchumbia mpenzi wake Cuban Link, hatimaye ukweli umejulikana kuwa wawili hao hawajavalishana pete.

Baada ya Tetesi kusambaa mtandaoni kuhusu Rapa na Muigizaji 50 Cent kudaiwa kumchumbia mpenzi wake Cuban Link, hatimaye ukweli umejulikana kuwa wawili hao hawajavalishana pete. Jibu hili limekuja baada ya pete ambayo imetajwa kuwa 50 amemvalisha mpenzi wake huyo siku za hivi karibuni kuonekana kwenye moja ya picha zake ambazo alishawahi kuzi-post mara nyingi Julai 2022.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live