Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

50 Cent awatolea povu mashabiki

50CENT RAPPER 50 Cent awatolea povu mashabiki

Thu, 25 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #50Cent amewatolea povu mashabiki ambapo wamekuwa wakimnanga kwenye baadhi ya picha anazo-post kufuatiwa na kupungua kwake uzito kwa siku za hivi karibuni.

#Cent amewajibu mashabiki hao kupitia video aliyo-post akieleza kuwa amepungua uzito kutokana na kufanya mazoezi mara kwa mara lakini pia jambo lingine ni ziara alizofanya mfululizo bila kupumzika 2023.

Show ya kwanza ya ‘rapa’ huyo kwa mwaka 2024 itakuwa Machi 1, katika uwanja wa ‘#NRG’ ulioko Texas nchini #Marekani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live