Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

50 Cent auza Filamu yake ya "Diddy Do It" kwa Netflix

Did Do It 50 Cent auza Filamu yake ya "Diddy Do It" kwa Netflix

Wed, 22 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa 50 Cent , ameuza Filamu yake ya Diddy Do It? kwa Netflix, Kwa miezi kadhaa amekuwa akiifanya filamu hiyo na sasa ameamuwa kuiuza baada ya kuwepo kwa vita vya kampuni mbalimbali juu ya umiliki wa Filamu hiyo.

Rapa 50 Cent , ameuza Filamu yake ya Diddy Do It? kwa Netflix, Kwa miezi kadhaa amekuwa akiifanya filamu hiyo na sasa ameamuwa kuiuza baada ya kuwepo kwa vita vya kampuni mbalimbali juu ya umiliki wa Filamu hiyo. FIlamu hiyo inahusu vitendo mbalimbali vya unyanyasaji wa kingono uliofanywa na Diddy, Imeandaliwa studio za Filamu na Television za G-UNIT.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live