Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

50 Cent ampa maua yake Chris Brown, amlinganisha na Michael Jackson

50 Cent Ampa Maua Yake Chris Brown, Amlinganisha Na Michael Jackson.jpeg 50 Cent ampa maua yake Chris Brown, amlinganisha na Michael Jackson

Tue, 5 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapper 50 Cent kutoka nchini Mrekeni ameendelea kuzungumzwa kwenye midomo ya watu kutokana na matukio mbalimbali anayoendelea kuyafanya tangu week iliyopita, awamu hii ameanza wiki na madai ya kuwa kwa kipindi hichi Chris Brown ndiyo msanii bora zaidi.

50 kupitia picha yenye sura ya Chris Brown na Michael Jackson aliyo-post Instagram ikionesha #Mj akimkabidhi taji #Chris ameweka ujumbe wake kwenye kudai kuwa hakuna mtu anayeweza kusema ukweli kuwa Chris Brown ndiyo masanii bora, lakini yeye pekee ndiyo anasema.

Ikumbukwe kuwa hii sio mara ya kwanza kwa rapper huyo kuongelea uwezo wa Chris Brown na kuulinganisha na wa Michael Jackson, hivyo basi kutokana na picha aliyo-post watu wameendelea kuitafsiri kuwa anaendeleza kuwashindanisha wasanii hao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live