Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

50 Cent amdhihaki Diddy "Msamaha hautofanya kazi"

50 Cent Kumrithi P Diddy 50 Cent amdhihaki Diddy "Msamaha hautofanya kazi"

Mon, 20 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa 50 Cent, ameendelea kumkejeli Sean Combs maarufu kama Diddy, baada ya Ku-Comment kwenye Video iliyochapishwa na rapa huyo akiomba msamaha na kusema msamaha aliouomba hauto saidia kitu, na kuhoji nani anayemshauri hivi sasa.

Hii inakuja kufuatia Video ya Diddy iliyovujishwa na kituo cha runinga cha CNN May 17, ambayo ilimuonesha rapa huyo akimpiga vibaya aliyekuwa mpenzi wake Cassie kwenye Moja ya hoteli Marekani 2016.

Tukio ambalo lilimfanya Diddy kuchukua uwamuzi leo wa kuomba msamaha na kujutia tukio la kikatili alilolifanya kwa aliyekuwa mpenzi wake huyo.

Je, Unamaoni gani kuhusu kauli ya 50 Cent?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live