Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

50 Cent akerwa na maneno ya shabiki kutoka Nigeria

2192 50 Cent 660x400

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo January 29,2018  story iliyochukua headlines Nigeria ni kuhusu account inayomilikiwa na mtu anayeitwa Brightimuze ambae ameonekana kumkera staa wa muziki wa hip pop kutokea Marekani 50 Cent baada ya kuongelea kuhusu familia yake.



50 Cent hupenda kumpost mtoto wake katika page yake ya instagram na hivyo shabiki huyo kuonyesha kufatilia kile ambacho 50 Cent hupost na kutaka kujua ni kwa nini huwa anampost mtoto wake mmoja tu.



Kupitia instagram account ya 50 Cent alionyesha kukasirishwa na maneno ya shabiki huyo na kupost picha yake (Birightimuze) na kuandika caption “This guy just asked why i only show 1 son, because l only have a relation ship with 1, but why do he want to know?  I don’t give a …… about them dirty ass kids on his page.  #denofthieves

Akimaanisha kuwa “Huyu kijana anauliza kwa nini naonyesha mtoto mmoja?? kwasababu nina mahusiano na mtu mmoja lakini kwa nini anataka kujua?? sijali kuhusu watoto wake wachafu kwenye page yake, Tafadhali kaa mbali na maisha yangu”

“Diamond atajifunza kutengeneza nyimbo kali”-Nyashinski



 

 

 

 

Chanzo: millardayo.com