Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

50 Cent akaa upande wa Drake kwenye vita

50 X Drakeee 50 Cent akaa upande wa Drake kwenye vita

Mon, 15 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa 50 Cent ameinua mdomo wake na kusemea kinachoendelea kati ya Drake na mahasimu zake kwenye bifu ambalo linaendelea kupikwa.

Rapa 50 Cent ameinua mdomo wake na kusemea kinachoendelea kati ya Drake na mahasimu zake kwenye bifu ambalo linaendelea kupikwa. Kupitia Diss ambayo ameituma Drake wikendi hii kwenda kwa Kendrick Lamar na Rick Ross, 50 Cent amekaa upande wa Drizzy akisema, amewanyoosha washkaji na kuwaambia wajipange na warudi na kitu kingine!

Chanzo: www.tanzaniaweb.live